City electricity services

City electricity services

Mbagala ,, Dar es Salaam

Yupo tayariBado hakuna maoni
3
Miaka ya uzoefu
0
Maoni ya wateja
TSh 40,000
Bei kuanzia

Utaalamu

⚡ Umeme📹 CCTV & IT

Karibu CITY ELECTRICITY SERVICES 📍Tunahusika na wirring za umeme wa majumbani HUDUMA ZETU ⚡ CIRCUIT PLAN ⚡ WIRRING SYSTEM ⚡ LIGHT DECORATION ⚡GATE MOTOR ⚡A/C INSTALLATION ⚡ MAINTENANCE ⚡ CCTV CAMERA ⚡ BACK UP SYSTEM 💡💡CITY ELECTRICITY💡💡 SERVICES, Tunafanya wirring kwa hatua 3 1️⃣ Circuit plan 🔧—> Uchimbiaji wa njia za umeme katika jengo 🔧—>uwekaji wa metal box pamoja na dressing ya conduit pipe 2️⃣ Wirring System 🔧—>kupitisha waya za umeme katika jengo 🔧—>Hatua hii hufanyika baada ya bandering 3️⃣ Light decorations 🔧—>Ufungaji wa Taa, switch, socket 🔧—>uwekaji wa decorations na vifaa vyote vya umeme 📍 Tunapatikana mbagala,Dar es salaam Tz 🛠️Tunafika mikoa yote Tz ,pindi ukihitaji huduma ZETU WHATSAPP ➡️+225 686 863 168 ✨Ufanye nyumba ya ndoto yako kuwa salama kwa wirring Bora za kisasa ♣️N.B ndugu mteja usisite kuwasiliana nasi kwa changamoto, ushauri na maoni juu ya mifumo Bora ,safi na salama.

Vyeti / Sifa

Ninacho

Kazi zilizopita (10)

Maoni ya Wateja

Bado hakuna maoni ya wateja kwa fundi huyu.